Template:Appeal/default/sw: Difference between revisions

From Donate
Jump to navigation Jump to search
Content deleted Content added
m adding quote for responsive pages
update reader count
Line 1: Line 1:
<div class="appeal-text-long">
<div class="appeal-text-long">
Wikipedia ni tovuti ya tano duniani kwa hesabu ya kutembelewa. Kila mwezi watu milioni 500 hutembelea tovuti yetu – wakiangalia mabilioni ya kurasa zetu.
Wikipedia ni tovuti ya tano duniani kwa hesabu ya kutembelewa. Kila mwezi watu milioni {{READER-COUNT}} hutembelea tovuti yetu – wakiangalia mabilioni ya kurasa zetu.


Si vibaya kufanya biashara au kuonyesha matangazo ya kibiashara – lakini hapa si mahala pake. Siyo katika Wikipedia.
Si vibaya kufanya biashara au kuonyesha matangazo ya kibiashara – lakini hapa si mahala pake. Siyo katika Wikipedia.

Revision as of 14:26, 2 October 2015

Wikipedia ni tovuti ya tano duniani kwa hesabu ya kutembelewa. Kila mwezi watu milioni 450 hutembelea tovuti yetu – wakiangalia mabilioni ya kurasa zetu.

Si vibaya kufanya biashara au kuonyesha matangazo ya kibiashara – lakini hapa si mahala pake. Siyo katika Wikipedia.

Wikipedia ni kitu maalumu. Ipo kama maktaba au mahali pa umma. Pako kama hekalu la maarifa. Ni mahali ambapo wote twaweza kwenda na kutafakari, kujifunza, na kuwagana maarifa yetu na wengine.

Nilipoanzisha Wikipedia ingekuwa rahisi kuijenga kama biashara na tovuti inayozalisha pesa nyingi kwa njia ya kuonyesha matangazo ya kibiashara. Lakini sikutaka. Kwa hiyo tumejenga Wikipedia kwa pesa kidogo hasa kwa kujitolea na zawadi za wachangiaji. Usimamizi wa mitambo unaendeshwa na watu wachache sana. Ofisi ya Wikipedia haikuweza kunenepa – wanenepe wengine!

Kama kila msomaji angetoa $5 kila mwaka kwa matumzi yake ya Wikipedia tusingehitaji kuomba kitu. Lakini si wote wanaoweza au wanaotaka kujitolea kwa njia hii. Hata hivyo tumepata wasaidizi wa kutosha hadi sasa.

Kwa sababu hii ninakuomba: usaidie na wewe mwaka huu. Ujitolee kwa dola 5, 10, 100 au jinsi unavyoweza. Tuendelee kujenga Wikipedia.

Ahsante sana,

Jimmy Wales
Mwanzilishi wa Wikipedia